Yanga Sc 1 1 Kariobangi Sharks Highlights Siku Ya Wananchi 4 8 2019

YANGA SC 1-1 KARIOBANGI SHARKS: HIGHLIGHTS (SIKU YA WANANCHI) 4/8/2019

Download Dengan Cepat

Name:YANGA SC 1-1 KARIOBANGI SHARKS: HIGHLIGHTS (SIKU YA WANANCHI) 4/8/2019
Genre:Unknown
Date:04 August 2019
Duration:00:40:04
View:182.8K
Like:557
Dis Like:163
Type:Youtube to Mp3
Bitrate:128kbps
User:Azam TV
Source:Youtube

Siku ya Wananchi imehitimishwa jijini Dar es Salaam katika uwanja wa Taifa huku Wananchi #YangaSC wakikipiga na Kariobangi Sharks ya Kenya.
Mapokezi yaliyotolewa na mashabiki, wananchama na viongozi wa Yanga SC kwa kikosi cha mwaka 2019/2020 ni makubwa na yanafurahisha.
Bila kusahau kikosi cha Yanga Veteran kilivyoibuka na ushindi dhidi ya veteran wa Pamba FC.
Ilikuwa siku kubwa na ya kihistoria ambayo itadumu kwenye kumbukumbu za Wananchi.

Tazama matukio muhimu yaliyojitokeza kwenye siku hiyo ikiwemo magoli ya mechi zote zilizochezwa na umati wa #Wananchi waliojitokeza kuhamasisha kikosi chao na kuunga mkono harakati za #TimuyaWananchi.


Share on Facebook
Share on Twitter
Share on Google+

Related Posts: