Ndoa Za Wanawake Kwa Wake Wenzao Zinatatiza Ukambani

Ndoa za wanawake kwa wake wenzao zinatatiza Ukambani

Download Dengan Cepat

Name:Ndoa za wanawake kwa wake wenzao zinatatiza Ukambani
Genre:Unknown
Date:17 February 2017
Duration:00:05:33
View:25.2K
Like:58
Dis Like:11
Type:Youtube to Mp3
Bitrate:128kbps
User:K24 TV
Source:Youtube

Katika tamaduni za kiafrika, ikiwa mwanamke hatajaaliwa kupata mwana hasa wa kiume, basi mumewe angeruhusiwa kumuoa mke wa pili ili aweze kumzalia wana.
Lakini katika jamii ya wakamba hali ni tofauti,wanawake wasio na uwezo wa kujifungua huruhusiwa kuwaoa wake ili waweze kuwazalia,ndoa inayojulikana kama Kaweto.
Kama anavyotueleza mwanahabari wetu Nancy Onyancha,mwanamke huyo anaruhusiwa kuchagua atakayekuwa baba wa watoto wake.
Ndoa hii ambayo haitambuliwi na sheria ya Kenya,mara nyingi hutatiza iwapo kutakuwa na mzozo.


Share on Facebook
Share on Twitter
Share on Google+

Related Posts: