Hatari Sarafu Ya Majini Yamtesa Kijana Huyu

HATARI: SARAFU YA MAJINI YAMTESA KIJANA HUYU

Download Dengan Cepat

Name:HATARI: SARAFU YA MAJINI YAMTESA KIJANA HUYU
Genre:Unknown
Date:18 January 2018
Duration:00:16:18
View:254.3K
Like:1K
Dis Like:225
Type:Youtube to Mp3
Bitrate:128kbps
User:Global TV Online
Source:Youtube

HATARI: SARAFU YA MAJINI YAMTESA KIJANA HUYU

UKISTAAJABU ya Mussa ,utayaona ya Firauni! Mwanaume mmoja mkazi wa chamazi, Dar, Jafari Daudi amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuokota pesa ya majini (sarafu) ambayo inamtesa na kutamani kuikimbia nchi.

Akisimulia kwa huzuni, mwanaume huyo mwenye mke na mtoto mmoja alisema kuwa, miaka mitatu iliyopita alikuwa akifanya maeneo ya Kijiji cha Mbondole, Kata ya Msongola, Dar ambako ndiko mkasa huo ulikompata.

Alisema kuwa, siku moja akiwa anaelekea kazini aliokota sarafu ambayo ilikuwa iking'a kama dhahabu ambapo alipoiangalia vizuri aliona kama zile pesa za kizamani, akaiweka mfukoni mwa suruali na kuelekea kazini kwake.

Jafari alisimulia kuwa, aliendelea na kazi, lakini ghafla alianza kuumwa na kichwa kupindukia huku jasho likimtoka na wakati huo huo baridi ya ajabu hivyo kutia shaka kuwa huenda hali hiyo ilimpata kutokana na pesa aliyoiokota hivyo aliamua kufunga ofisi na kurudi nyumbani.


Subscribe muda huu www.youtube.com/user/uwazi1 Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi

TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..


Share on Facebook
Share on Twitter
Share on Google+

Related Posts: